DIGITAL ONLINE SALES - Your Gateway to Vodacom, Airtel, and Halotel Agent Services by PHILIPO KAYOMBO you are welcome.
HUDUMA ZA VODACOM

Kutoka Digital online sales

Vodacoml logo image

DIGITAL ONLINE SALES, tutakusaidia wewe mteja wetu wa thamani kupata huduma zifuatazo.

  1. KUWEZESHA HUDUMA YA LIPA KWA M-PESA.
  2. KUWEZESHA VIFURUSHI VYA SME & M2M BUNDLES.
  3. KUWEZESHA LAINI ZA UWAKALA WA M-PESA.
  4. TUTAKUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI KUHUSU HUDUMA ZA VODACOM.
  5. TUTAKUPA ELIMU NA MAFUNZO KUHUSU BIASHARA YA UWAKALA.
SOMA ZAIDI...
HUDUMA ZA AIRTEL

Kutoka Digital online sales

Airtel logo image

DIGITAL ONLINE SALES, tutakusaidia wewe mteja wetu kupata huduma zifuatazo.

  1. KUWEZESHA LAINI ZA UWAKALA WA AIRTEL MONEY.
  2. KUWEZESHA BANDO ZA AIRTEL SME (Bando za bei nafuu)
  3. KUWEZESHA LAINI YA LIPA KWA AIRTEL MOMEY.
  4. TUTAKUPA ELIMU NA MAFUNZO KUHUSU BIASHARA YA UWAKALA.
  5. KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOHUSIANA NA AIRTEL.
SOMA ZAIDI...
HUDUMA ZA HALOTEL

Kutoka Digital online sales

Halotel logo image

DIGITAL ONLINE SALES, tupokaribu yako wewe mteja wetu wa Halotel.

  1. TUTAKUSAIDIA KUWEZESHA LAINI YA UWAKALA YA HALOPESA.
  2. TUTAKUSAIDIA KUWEZESHA LIPA NAMBA YA HALOPESA.
  3. TUTAKUPA ELIMU NA MAFUNZO KUHUSU BIASHARA YA UWAKALA.
  4. TUTAKUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI NA KUKUPA SULUHISHO.
SOMA ZAIDI...
HUDUMA NYINGINEZO

Kutoka Digital online sales

Other services image

Ukiwa na sisi DIGITAL ONLINE SALES, Pia utapata huduma zifuatazo.

  1. Tutahakikisha tunakupa msaada wa haraka ukiwa na CHANGAMOTO za masuala ya UWAKALA, LIPA NAMBA, nk.
  2. Tutakutengenezea TIN NAMBA, pia tutakupa elimu na mafunzo kuhusu faida za TIN namba.
  3. Tutakupa mwongozo wa namna ya kupata leseni ya BIASHARA.
  4. Tutakusaidia kusajiri jina la biashara yako (BRELA REGISTRATION).
  5. Tunafanya GRAPHIC DESIGN pamoja na WEBSITE DESIGN, kwa bei nafuu sana.
  6. Tunatoa Elimu kuhusu biashara za ONLINE.
  7. Tutakusaidia kuitangaza BIASHARA yako kwa kutumia mfumo wa WhatsApp BULK SENDER.
  8. Tunatoa mafunzo ya kutumia na kuset mfumo wa WhatsApp Automatic REPLY system kwa gharama nafuu Tsh 85,000/=
  9. JIFUZE ZAIDI HAPA

SOMA ZAIDI...
WHATSAPP MARKETING - STATUS VIEWS.

DIGITAL ONLINE SALES, tumekuletea huduma ya STATUS VIEWS. ongeza watazamaji, ongeza mauzo, kuza brand yako ki-digitali. Ni rahisi sana kuwa na views wengi walio tazama STATUS YAKO uliyo post. Share na marafiki zako haka ka filling.

KWA KUTUMIA WEBSITE HII, UTAWEZA KUONGEZA STATUS VIEWS KWA NJIA YA KISASA...

Kutoka Digital online sales

WhatsApp marketing image

UNACHOTAKIWA WEWE KUFANYA NI...

  1. JAZA JINA UNALOTAKA WATU WAKUSAVE, bonyeza hapa chini ONGEZA VIEWS Kisha jaza jina lako. mfano; JOHN FUNDI SIMU AU ASHA SHOP.
  2. Baada ya hapo, jaza namba ako ya simu unayotaka iwe saved na watu. mfano; 0785106106
  3. Baada ya hapo bonyeza neno UPLOAD CONTACT TO VCF baada ya hapo subiri kutumiwa VCF FILE kwenye WhatsApp group. VCF FILES ni kila jumapili. hakikisha una join kwenye group.
  4. Hakikisha unasambaza na kushare link ya group, ili kupata CONTACTS ZA KUTOSHA.
  5. USIKOSE KUJIUNGA NASI HAPA.
    Join WhatsApp group
  6. For more detail.
    Follow my whatsapp channel
ONGEZA STATUS VIEWS

CALENDER
Media Image 1 Media Image 2 Media Image 3 Media Image 4 Media Image 5 Media Image 6 Media Image 7 Media Image 8 Media Image 9 Media Image 10
SEE MORE...
Chat with us on WhatsApp
Chat with us